Thursday, August 23, 2018
Miongoni mwa faida kubwa za elimu ni kuwafanya watu wawe huru wa epukane na utumwa sasa je jiulize kwa nini inaonesha kuwa wanafunzi wengi wanavyozidi kupata elimu kubwa zaidi ndo wanazidi kuwa kama wajinga wanatembea uchi hasa wasichana nawausia wanachuoni Tubadilike kwani nchi nyingi zinatemea cleam from university↔↕↫
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
vichwa vinaendelea kuuma kwa nn wanafunzi wa zama hizi wanafeli sana hali yakuwa wanasoma kwa viwango bora kuliko ilivyokuwa awali ?
-
Habar ndgu zangu napenda kuwaalika katika fikra mbalimbali za namna gani mwanafunzi anaweza kutimiza ndoto zake za kimasomo, kumbuka mchango...
No comments:
Post a Comment