Friday, August 31, 2018

KARIBUNI KATIKA JUKWAA LA ELIMU WADAU WOTE MNAKARIBISHWA
 Ni elimu pekee kama ikitumika vizuri itamuwezesha mtu kuongeza ufanisi ktk utendaji na pia itamkomboa kutokana na utumwa hivyo atakuwa huru

Thursday, August 23, 2018

 Miongoni mwa faida kubwa za elimu ni kuwafanya watu wawe  huru wa epukane na utumwa sasa je jiulize kwa nini inaonesha kuwa wanafunzi wengi wanavyozidi kupata elimu kubwa zaidi ndo wanazidi kuwa kama wajinga wanatembea uchi hasa wasichana  nawausia wanachuoni Tubadilike kwani nchi nyingi zinatemea cleam from university↔↕↫

Saturday, August 18, 2018

Napenda kuwatakia kila kher ngugu zangu wote pia nawakumbusha tufanyeni maandalizi ya kuipokea sikukuu jion njema

Wednesday, August 15, 2018

Lazima tukubali kuwa jambo lolote lile kabla ya kulifanya inapaswa kuwa na elimu nalo hili jambo limedhibiti hata enzi za mitume a.s ,sasa tunashangaa kuona namna watu wanavyo ingia ktk mambo mbalimbali bila kuwa na elimu nayo mfano watu baada tu yakupata pesa wanafikilia kuingia kwenya ndoa bila ya kuwa na elimu nayo na jambo hili linapelekea ndoa nyingi kuvunjika kwa muda mfupi .Hivyo tunawakumbusha wazazi kaeni na vijana wenu muwape elimu juu ya ndoa

Thursday, August 9, 2018

Habari ndgu watanzania  nn kinapaswa kufanyika ktk mitaala ya elimu tanzania kumbuka hapo mwanzo tulikua tunasoma ili kuajiliwa ambalo hilo jambo sasa linapaswa kufutika ktk vichwa vya watanzia  kwani kutokana na jambo yameonekana mambo mengi kwa wasomi weng wa nchi kushindwa kuendesha maisha baada ya kutoka vyuoni

Tuesday, August 7, 2018

HABARI ZA KIELIMU



HABARI ZA KIELIMU

Habar ndgu zangu napenda kuwaalika katika fikra mbalimbali za namna gani mwanafunzi anaweza kutimiza ndoto zake za kimasomo, kumbuka mchango ni muhim sana ktk ustawi wa elimu tanzania

Habar ndgu zangu napenda kuwaalika katika fikra mbalimbali za namna gani mwanafunzi anaweza kutimiza ndoto zake za kimasomo, kumbuka mchango ni muhim sana ktk ustawi wa elimu tanzania

Habar ndgu zangu napenda kuwaalika katika fikra mbalimbali za namna gani mwanafunzi anaweza kutimiza ndoto zake za kimasomo, kumbuka mchango ni muhim sana ktk ustawi wa elimu tanzania

thanks you  GOD 4giving me these intellenge skills i know  all they deserve but you only choose few of them. welcome in this fantask blog that  may make their dreams of learners to be fulfilled

vichwa vinaendelea kuuma kwa nn wanafunzi wa zama hizi wanafeli sana hali yakuwa wanasoma kwa viwango bora kuliko ilivyokuwa awali ?