Sunday, September 23, 2018

vichwa vinaendelea kuuma kwa nn wanafunzi wa zama hizi wanafeli sana hali yakuwa wanasoma kwa viwango bora kuliko ilivyokuwa awali ?

Saturday, September 8, 2018

Elimu imekuwa jambo  la mwanzo kutafutwa kabla ya kukiendea kitu chochote,lakini chaajabu  watoaji wa elimu hiyo mazingira yao yanachangamoto nyingi sana  ktk nyanja kibao

Monday, September 3, 2018

Friday, August 31, 2018

KARIBUNI KATIKA JUKWAA LA ELIMU WADAU WOTE MNAKARIBISHWA
 Ni elimu pekee kama ikitumika vizuri itamuwezesha mtu kuongeza ufanisi ktk utendaji na pia itamkomboa kutokana na utumwa hivyo atakuwa huru

Thursday, August 23, 2018

 Miongoni mwa faida kubwa za elimu ni kuwafanya watu wawe  huru wa epukane na utumwa sasa je jiulize kwa nini inaonesha kuwa wanafunzi wengi wanavyozidi kupata elimu kubwa zaidi ndo wanazidi kuwa kama wajinga wanatembea uchi hasa wasichana  nawausia wanachuoni Tubadilike kwani nchi nyingi zinatemea cleam from university↔↕↫

Saturday, August 18, 2018

Napenda kuwatakia kila kher ngugu zangu wote pia nawakumbusha tufanyeni maandalizi ya kuipokea sikukuu jion njema

Wednesday, August 15, 2018

Lazima tukubali kuwa jambo lolote lile kabla ya kulifanya inapaswa kuwa na elimu nalo hili jambo limedhibiti hata enzi za mitume a.s ,sasa tunashangaa kuona namna watu wanavyo ingia ktk mambo mbalimbali bila kuwa na elimu nayo mfano watu baada tu yakupata pesa wanafikilia kuingia kwenya ndoa bila ya kuwa na elimu nayo na jambo hili linapelekea ndoa nyingi kuvunjika kwa muda mfupi .Hivyo tunawakumbusha wazazi kaeni na vijana wenu muwape elimu juu ya ndoa

vichwa vinaendelea kuuma kwa nn wanafunzi wa zama hizi wanafeli sana hali yakuwa wanasoma kwa viwango bora kuliko ilivyokuwa awali ?