Lazima tukubali kuwa jambo lolote lile kabla ya kulifanya inapaswa kuwa na elimu nalo hili jambo limedhibiti hata enzi za mitume a.s ,sasa tunashangaa kuona namna watu wanavyo ingia ktk mambo mbalimbali bila kuwa na elimu nayo mfano watu baada tu yakupata pesa wanafikilia kuingia kwenya ndoa bila ya kuwa na elimu nayo na jambo hili linapelekea ndoa nyingi kuvunjika kwa muda mfupi .Hivyo tunawakumbusha wazazi kaeni na vijana wenu muwape elimu juu ya ndoa
kweli wazazi wanapaswa kuwa macho kabisa
ReplyDelete