Thursday, August 9, 2018
Habari ndgu watanzania nn kinapaswa kufanyika ktk mitaala ya elimu tanzania kumbuka hapo mwanzo tulikua tunasoma ili kuajiliwa ambalo hilo jambo sasa linapaswa kufutika ktk vichwa vya watanzia kwani kutokana na jambo yameonekana mambo mengi kwa wasomi weng wa nchi kushindwa kuendesha maisha baada ya kutoka vyuoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
vichwa vinaendelea kuuma kwa nn wanafunzi wa zama hizi wanafeli sana hali yakuwa wanasoma kwa viwango bora kuliko ilivyokuwa awali ?
-
Habar ndgu zangu napenda kuwaalika katika fikra mbalimbali za namna gani mwanafunzi anaweza kutimiza ndoto zake za kimasomo, kumbuka mchango...
inapaswa kufanyiwamalekebisho tena ili kuwwawezesha wahitimu wa kada mbalimbali kujiajiri wenyewe hiyo itpelekea kutatua tatizo la ajira pia itapelekea kuibua vipaji vya vijana wa tanzania
ReplyDelete