Thursday, August 9, 2018

Habari ndgu watanzania  nn kinapaswa kufanyika ktk mitaala ya elimu tanzania kumbuka hapo mwanzo tulikua tunasoma ili kuajiliwa ambalo hilo jambo sasa linapaswa kufutika ktk vichwa vya watanzia  kwani kutokana na jambo yameonekana mambo mengi kwa wasomi weng wa nchi kushindwa kuendesha maisha baada ya kutoka vyuoni

1 comment:

  1. inapaswa kufanyiwamalekebisho tena ili kuwwawezesha wahitimu wa kada mbalimbali kujiajiri wenyewe hiyo itpelekea kutatua tatizo la ajira pia itapelekea kuibua vipaji vya vijana wa tanzania

    ReplyDelete

vichwa vinaendelea kuuma kwa nn wanafunzi wa zama hizi wanafeli sana hali yakuwa wanasoma kwa viwango bora kuliko ilivyokuwa awali ?